Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 02. 2025

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari:

๐Ÿ”ธ Pundanhar inaludi Katika hali ya Kawaida baada ya shambuliio

๐Ÿ”ธ Zaidi ya Shule 80 zimefungwa Kwa Sabubu ya ugaidi huko Cabo Delgado

๐Ÿ”ธ Magaide wanaendelea kupanda Kijiji Cha Pangane

๐Ÿ”ธ Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda Montepuez na Palma.
7 Feb 5AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama ๐Ÿ”ธ Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi ๐Ÿ”ธ Magaidi wameingiaโ€ฆ
27 Sep 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia ๐Ÿ”ธ Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama ๐Ÿ”ธโ€ฆ
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Jeshi lรก wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16โ€ฆ
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda ๐Ÿ”ธโ€ฆ
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. ๐Ÿ”ธ Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising ๐Ÿ”ธ Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha ๐Ÿ”ธโ€ฆ
22 Aug 5AM 5 min