Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 24. 01. 2025

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari:

๐Ÿ”ธ Wananchi wa Macomia wanaridhika utenji kazi Pmajeshi wa Rwanda

๐Ÿ”ธ Watu wasiojulikana uleta hofu Katika bala bala ya Pemba na Montepuez.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami, ya Mueda, Montepuez na Palma.
24 Jan 2AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia ๐Ÿ”ธ Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama ๐Ÿ”ธโ€ฆ
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Jeshi lรก wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16โ€ฆ
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda ๐Ÿ”ธโ€ฆ
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. ๐Ÿ”ธ Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising ๐Ÿ”ธ Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha ๐Ÿ”ธโ€ฆ
22 Aug 5AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Watu wameuawa katika shambulio lรก waasi kwenye Bรกrabara 380 Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgadoโ€ฆ
15 Aug 7AM 5 min