Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 03. 01. 2025

--:--
Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 03.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa vya Habari:

🔸 Cabo Delgado hakuna Kesi za kutengana Família Zinazohusisha watoto, inakikisha UNICEF

🔸 Ngogora wa baada ya uchaguzi huongeza gharama za maisha.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.
3 Jan 1AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado 🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda 🔸…
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 5AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Watu wameuawa katika shambulio lá waasi kwenye Bárabara 380 Huko Cabo Delgado 🔸 Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgado…
15 Aug 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma. 🔸 Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure 🔸 Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafiti…
8 Aug 11AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 01. 08. 2025

Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe, 01.08.2025.Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Wakazi wameridhiswa kwa kurejeshwa kwa usindikizaji wa kijeshi sehemu ya Macomia Oasse. 🔸 Islamic state wameshambulia chiure 🔸 Namparama kuingia katika hatua ya…
1 Aug 4AM 8 min